Kunyoa, kusuka, kucha na urembo - mapokezi, wahudumu, bidhaa na ripoti vinafanya kazi kwenye mfumo mmoja, na kamisheni ya kila mhudumu inahesabiwa yenyewe.
Wateja wanaona mitindo, huduma na tabasamu. Nyuma yake, SalonixTz inashika kila huduma, kila mhudumu na kila shilingi - bila daftari.





Ingia ufungue huduma, wahudumu na mauzo ya leo.